Amini usiamini Patrick Mafisango Mutesa
hatunae tena duniani. Habari nilizozipata zinasema kiungo huyo wa Simba
amepata ajali ya ajali maeneno ya Tazara wakati akijaribu kumkwepa
mwenye pikipiki na kwa bahati mbaya gari lake likakosa balance na
kuingia mtaroni na hapo ndipo alipopeteza maisha.
No comments:
Post a Comment