Kanisa
la Tanzania Assemblies of God (TAG) liliopo mtaa wa Kariakoo mjini
Unguja limechomwa moto jana usiku wa kuamkia leo na watu wasiojulikana.
(Picha/Zanzibar Yetu)
Gari
la Kiongozi wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG) Bishop
Dickoson Maganga lililochomwa moto na watu wasiojulikana usiku wa jana
katika eneo la Kariakoo nje ya kanisa hilo ambapo uharibifu wote
unaelezwa kuwa umegharimu shilingi millioni 120.
No comments:
Post a Comment