Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akishiriki kuimba wimbo wa wafanyakazi akiwa
kashikana mikono na Rais wa Jumuiya ya Vyama vya wafanyakazi (TUCTA) Mh,
Waziri wa Kazi na Ajira Mh Gaudence Kabaka (kulia) na Mkuu wa Mkoa wa
Tanga Mh Galawa katika sherehe za Mei Mosi katika Uwanja wa Mkwakwani
jijini Tanga leo Mei 1, 2012
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia katika sherehe za Mei Mosi katika Uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga leo Mei 1, 2012
Wafanyakazi
wa Ofisi za Bunge wakiigiza kikao cha bunge wakati gari lao lilipokuwa
linapita mbele ya Rais Dkt Jakaya Kikwete katika sherehe za Mei Mosi
katika Uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga leo Mei 1, 2012
Wafanyakazi wakifuatilia maadghimisho hayo leo mkoani Tanga
Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi mfano wa hundi ya shilingi
milioni tatu kama zawadi kwa Mfanyakazi bora wa Tanesco Bi Anetha
Chengula katika sherehe za Mei Mosi katika Uwanja wa Mkwakwani jijini
Tanga leo Mei 1, 2012
picha kwa hisani ya tanga yetu
No comments:
Post a Comment