Leo katika eneo la Ngaramtoni wilayani Arumeru maduka 10 yenye mali inayokadiriwa kufikia thamani
ya shilingi milioni 100 za kitanzania yameteketea kwa moto chanzo kikiwa ni hitilafu ya umeme, hii
ni mara ya pili kuungua kwa maduka ambapo mwezi jana maduka mengine yaliungua huku
yakiwa na mali zenye thamani ya Milioni 200
Picha na Gladness Mushi wa Fullshangwe-Arusha
Kikosi cha kuzima
moto katika jiji la Arusha kikiendelea na zoezi la kuzima moto uliokuwa
ukiunguza maduka hapo Naramtoni Arumeru.
No comments:
Post a Comment