Pages

Tuesday, May 15, 2012

MADUKA YATEKETEA KWA MOTO NGARAMTONI HUKO ARUMERU


Leo katika eneo la Ngaramtoni wilayani Arumeru maduka 10 yenye mali inayokadiriwa kufikia thamani ya shilingi milioni 100 za kitanzania  yameteketea kwa moto chanzo kikiwa  ni hitilafu ya umeme,  hii ni mara ya pili kuungua kwa maduka ambapo mwezi jana maduka mengine yaliungua huku yakiwa na mali zenye thamani ya Milioni 200 
Picha na Gladness Mushi wa Fullshangwe-Arusha
Kikosi cha kuzima moto katika jiji la Arusha kikiendelea na zoezi la kuzima moto uliokuwa ukiunguza maduka hapo Naramtoni Arumeru.

No comments:

Post a Comment