Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, May 2, 2012

MASHUJAA YATAMBULISHA WANAUMUZIKI WAKE WAPYA


 Bendi ya Mashujaa band ambayo kwa sasa ni kama timu ya man city imewatambulisha wanamuziki wake wapya wawili kutoka Extra Bongo na African Stars twanga pepeta,wanamuziki hao ni Rapa Saulo John Ferguson na Mcd.Hakika utambulisho huo ulikuwa mzuri sana ukizingatia kwa sasa rapa ferguson ndio anatisha kwa rap nzuri za kiswahili.

 Mpiga Tumba MCD akiwajibika kazini

Kazi ikiendelea

No comments:

Post a Comment