Tegemea zawadi kubwa sana kama Rick
Ross ni mshikaji wako alafu umemualika katika fuction yako. Hiyo
imemtokea msanii Meek Mill baada ya kupewa funguo ya Range Rover ya
mwaka 2012 wakiwa red carpet ikiwa ni katika Birthday ya Meek Mill
akitimiza umri wa miaka 25, imehappen weekend iliyoisha katika Yacht
yake Bawse Rozay. Siku hiyo walikuwa watu kibao kutoka label ya MMG kama
Wale na Juelz Santana…Usiku wa leo tunaparty mpaka noma kunywa pombe
nyingi sana kwa ajili ya haters. Alisema rapper Philly. .
TASHICO YAFAFANUA MELI MV SERENGETI KUZAMA ZIWA VICTORIA
-
NA BALTAZAR MASHAKA, MWANZA
KAMPUNI ya Meli Tanzania (TASHICO) imefafanua tukio la kuzama kwa meli ya
MV Serengeti katika Bandari ya Mwanza Kusini,Ziwa V...
6 hours ago
No comments:
Post a Comment