Pages

Monday, May 7, 2012

ANGALIA HAPA RAISI MSTAAFU MKAPA KIZIMBANI MAHAKAMA YA KISUTU

Mkapa akiingia Mahakama ya Kisutu kutoa ushahidi.
Rais mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa, leo amepanda kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam na kuhojiwa na mawakili wa serikali na wanaomtetea aliyekuwa balozi wa Tanzania nchini Italy, Costa Mahalu, kwenye kesi ya ufujaji fedha katika ununuzi wa jengo la ubalozi inayomkabili balozi huyo.
Jengo hilo lilinunuliwa kwa shilingi, bilioni 2.9.

Akisindikizwa kuelekea kizimbani.

No comments:

Post a Comment