Pages

Tuesday, May 1, 2012

MTENDAJI WA KIJIJI AMCHARAZA BAKORA MWANAMKE MJAMZITO MIMBA YATOKA




Mwanamke Saidiana Kigwangise (26) mkazi wa kijiji cha Itede wilaya ya Kilolo mkoa wa Iringa anayedaiwa kucharaza bakora 30 na afisa mtendaji wa kijiji hadi mimba yake ya miezi mitatu kutoka


Mjamba wa mwanamke huyo Chesco Malack Kipindi akimuuguza mgonjwa huyo nyumbani eneo la Frelimo mjini Iringa baada ya kuruhusiwa Hospitali ya mkoa wa Iringa akiwa bado kupona.


Picha kwa hisani ya Francis Godwin

No comments:

Post a Comment