Pages

Saturday, May 12, 2012

Rihanna Alazwa


Binti mrembo asiye na kikwazo cha kuulizwa maswali ya kuchelewa kurudi kwani hana permanent boyfriend Rihanna, jumatatu usiku aliwahishwa hospitalini baada ya kula bata haja katika Met Gala na akaunga na shughuli zingine hivyo uchovu na kupun.gukiwa maji mwilini vilimlazimu kuwahishwa hospitalini na kutundikiwa drip! Na hii ni kwa muujibu wa jarida la Media take out Tazama mkono wake hapo chini Akiwa hospitalini Rihanna ali tweete picha hii akiwa kitandani .



Hata hivyo aliruhusiwa muda mfupi baadae na kuruhusiwa kuruka kurejea nyumbani kwake Los Angeles,na kuwasili mapema jumanne asubuhi,kilichomkumba ni kutokana na kufanya rehearsal usiku mzima wa jumamosi bila kupumzika Wadadisi wa mambo wanaeleza tabia ya Rihanna ya kula bata kua ni ya kupitiliza na hiyo imedhihirika mwezi huu na kulazwa kwake hospitalini haishangazi kwani hayo ni matokeo ya kula bata ndeeefu bila uangalifu, na anakunywa pombe karibu kila siku na wanaeleza kua ni mla msuba mzuri tu(ganja,kijiti,au bangi) Bata ya jumamosi ilitanguliwa na burudani katika club ya usiku ya utupu ya Queens, New York, ikiwa ni may pili mwaka huu alionekana kukunwa na shoo ya dada mmoja hivi na akaamua kwenda kumwaga miji dolari kama uonavyo na kila aliye karibu yake ana mshauri kupunguza pombe na bangi na ageukie katika tiba ila Rihanna mwenyewe ana enjoy na haoni tatizo juu ya tabia zake kua msichana mzuri kugeuka kua mfano mbaya na anasema . : 'I'm crazy and I don't pretend to be anything else.' Habari ndo hiyo hawezi kuigiza yeye ndo hivyo alivyo!



 Lakini wakati hayo yanajiri! Na Rihanna kutoona sababu ya yeye kubadilika! Kwa upande mwingine amegeuka kua mpinzani wa waalimu wa Terri Bancroft wa grade A ambao walimtimua binti huyo shuleni na kumzuia kufanya mitihani yake mpaka hapo atakapo zibadili nywele zake alizo zipaka rangi mithili ya pop star Rihanna.

                                                                           Rihanna

Terri
Rihanna baada ya kupata taarifa hiyo! Akaenda hewani katika account yake ya twitter yenye followers milioni 18 ulimwenguni na kupinga wazi wazi alichotendewa shabiki wake na kumsapoti shabiki wake huyo mwenye miaka 15, na kumuelezea kama mwanafunzi nyota wa grade A. Terri Bancroft alifukuzwa shuleni na kupewa masharti kua kama anataka kuendelea na masomo na kufanya mitihani yake basi kwanza abadilishe rangi ya nywele zake. Hakua na ujanja ilimbidi kufanya hivyo.

Katika ukurasa huo wa twitter Rihanna anampa moyo Terri kwa kumweleza kua yeye Terri ni shujaa na rangi ya nywele zake haziwezi kubadili utu wako na wewe ni mwanafunzi wa grade A na nimeipenda hiyo.




Lakini kwa bahati mbaya ! maneno ya Rihanna yalikua kama yamechelewa hivi!,kwani Terri alishabadili muonekano wa nywele zake na kuruhusiwa kurejea shuleni na kufanya mitihani yake


                            Terri ni huyo wa katikati akiwa na salonisty walobadili nywele zake
Terri, anatokea Rhyl, north Wales, na alitimuliwa masomoni katika shule ya Blessed Edward Jones RC school kwa wiki moja kwa muonekano wa nywele zake kua nyekundu kupitiliza, mama yake Terri Anne-Marie alisema alishtushwa na tweet ya pop star huyo na hakutegemea na binti yake alifadhaika sana kwani alipigiwa simu nyingi sana na watu mbali mbali mara baada tu ya Rihhana kutweet Anne Marie anadai binti yake ni shabiki wa Rihanna lakini hakupaka rangi nywele zake kwa kumuiga,inashangaza jinsi Rihanna alivyopata habati na ku tweet juu ya kisanga hicho.Terri ni mkali shuleni kwake, ana mwaka wa kumi wa masomo na kila wakati ana A* MSONGE WA NGUVU lol ndoto za Terri ni kutaka kua rubani ,Anna-Marrie alitoa shukrani zake kwa watu wa saloon waloondoa rangi nyekundu ya nywele za mwanawe na kuweka  rangi ya brown na hatimaye binti amerejea shuleni.

No comments:

Post a Comment