Pages

Sunday, May 27, 2012

SHEREHE ZA SIMBA ZILIVYOFANA DAR LIVE JANA,

















Mhariri kiongozi wa gazeti la Championi, Saleh Ally (mwenye miwani) akichana tiketi mlangoni


Meneja wa Global Publisher, Abdallah Mrisho


Mashabiki


Mzee Gurumo mwenye fulana nyekundu, Romna Mng'ande kulia na Katundu na Asha Kigundula kushoto kabisa


Saleh Ally na Hassan Daalal


Biashara zinaendelea


Nyomi


Uhuru Suleiman na mwanawe, Samir kulia, kushoto kocha wa makipa, James Kisaka


Mashabiki


Isha Mashauzu kabla ya kupanda jukwaani


Juma Mbizo na Asha Kigundula


Paparazzi wakiendelea na kazi


Makamu Mwenyekiti wa Simba, Kaburu kulia na mgeni rasmi, Mh Amos Makalla


Akiimba shairi la Simba


Wakali Dancers wakifanya vitu


Shabiki wa Simba Magoma Moto akitoa burudani ya bure


Dua kwa ajili ya Mafisango


Machaku akiitoa Medali yake kwa ajili ya Mafisango


Mh Makalla akimkabidhi Kaseja tuzo mbalimbali


Kaseja akimlilia Mafisango


Kaseja akibembelezwa wakati analia kwa ajili ya Mafisango




Shampeni


Juma Nyosso kushoto, Kaseja katikati, Machaku kulia na Kombe lao


Meneja wa Global Publisher, Abdallah Mrisho akimkabidhi Nahodha wa Simba, Juma Kaseja Sh. Milioni 3


Wachezaji wakipata chakula

No comments:

Post a Comment