Mwimbaji Usher Raymond amefika
tena Mahakamani huko Atlanta ambapo akiwa bado mahakamani alitoa machozi
baada ya mahakama kuonyeshwa picha zake akiwa kwenye moja kati ya club
maarufu za Ulaya mwanzoni mwa mwaka huu ambapo alidaiwa kwamba
amejisahau kuwalewa watoto wake wawili wa kiume aliopata na mke
walietengena Tameka Raymond, na sasa anajali kuhusu starehe tu.
Baada ya hayo, pia Usher
Raymond nae aliieleza mahakama jinsi mkewe wa zamani alivyo na mfululizo
wa matukio mabaya huku akielezea pia wasiwasi juu ya watoto wake kama
wanapata matunzo sahihi kutoka kwa mama yao.
Amesema Tameka ambae ana zaidi
ya umri wa miaka 40 amewahi kutaka kupigana wakati Usher alipokwenda
nyumbani kwa Tameka akiwa ameambatana na mpenzi wake mpya (Grace Miguel)
ambae pia ni meneja wake.
Walipokua mahakamani, Usher
Raymond pia alikanusha tuhuma kwamba alikua akitumia vilevi mbele ya
watoto wao wawili wa kiume, Usher na Tameka ambao walioana mwaka 2007 na
kuachana kabla ya kufikisha miaka miwili.
bado wako mahakamani na ishu kubwa bado ni watoto.
SHEREHE ZA MATI TANZANITE ROYAL PARTY ZATIKISA MJI WA BABATI
-
Na Mwandishi Wetu, Manyara.
Sherehe ya hadhi ya kifalme inayojulikana kama Mati Tanzanite Royal Party
imefanyika Mjini Babati Mkoani Manyara huku mamia y...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment