Pages

Saturday, May 26, 2012

Wakali wa Kili Music Award wafanya mahojiano Safari Radio 89.9 FM Mtwara


 Baadhi ya washindi wa Tuzo za Kili Music 2012, waliopo katika ziara ya washindi hao mkoani Mtwara wamefanya mahojiano ya moja kwa moja katika Redio ya Safari 89.9 ya mjini Mtwara kwaajili ya Show yao kesho. Pichani ni Ommy Dimpimpoz akienda hewani.
 Queen Darling nae alikwenda hewani..
Wasanii wakiwa katika mahojinao Safari Radio Mtwara
 Roma Mkatoliki akishow love ndani ya Safari Radio.
 Mtangazaji wa Safari Radio 89.9 FM Sada Nassor  maarufu Snahlicious katika pozi
DJ Choka nae akienda hewani
 Meneja wa Omy Dimpoz Mubenga akipata burudani Safari Redio
 Roma Mkatoliki na Mubenga wakiruka juu baada ya kumaliza mahojiano Safari Radio Mtwara.
Malenga Hussein DJ Stewart  wa Safari Radio akikamua mambo wakati wa Mahojiano hayo.

No comments:

Post a Comment