Pages

Wednesday, May 2, 2012

WAZIRI WA HABARI ZANZIBAR ATEMBELEA VYOMBO VYA HABARI


Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo,Said Ali Mbarouk( mwenye suti nyeusi) akipata maelezo ya studio ambayo kwa sasa imo katika matengezo kutoka kwa fundi mkuu shirika la utangazaji Zanzibar,Ali Aboud (wa kwanza kulia) alipotembelea shirika hilo leo(Picha na Yussuf Sima,MAELEZO Zanzibar)
Mkurugenzi Mkuu wa ZBC,Hassan Mitawi akimweleza jambo Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo,Said Ali Mbarouk( wa kwanza kulia) wakati alkipotembelea chumba cha habari cha shirika hilo,Raha leo Mjini Zanzibar ikiwa sehemu ya ziara yake kwa vyombo vya habari vya Serikali.(Picha na Yussuf Simai,Maelezo Zanzibar)

No comments:

Post a Comment