ANGALIA HAPA PICHA ZA GEREZA ALIPOFUNGWA FLOYD MAYWEATHER NA PICHA ZA KESI YAKE
Bondia
Floyd Mayweather leo ameanza kifungo cha miezi 3 jela alichohukumiwa
mwezi Desemba mwaka jana kutokana na kuvunja sheria kwa kufanya ugomvi.
Wakati akielekea Jela Mayweather alisindikizwa na rafiki yake kipenzi
mwanamuziki 50 Cent.
Mayweather akitiwa pingu na polisi kuelekea kwenye karandinga.
"Nenda dogo nitakumiss kaka yako" 50 Cent na Mayweather.
Hiki ndio chumba atakachokaa Mayweather kwa miezi 3
Hizi ndio sare zake kwa kipindi chote atakachokaa jela.
No comments:
Post a Comment