Pages
(Move to ...)
Home
IT page
Advertisement
Sports news
comedy zone
Contanct and where we are
JICHO LA CAMERA YANGU
▼
Thursday, June 28, 2012
EXCLUSIVE ANGALIA HAPA PICHA ZA : UZINDUZI FIESTA 2012
Allan Chonjo Brand Manager wa Serengeti ambao ndo wa zamini wakuu wa Fiesta
Allan,Sebastian,Benja
Baadhi ya wasanii nao walikuwepo Mwasiti,Madee,Amini na rafiki yao
Hapa mdada alikuwa anakula mmhh!!
haya ndo magari ambayo yatashindaniwa
hayo ndo magari pamoja na pikipiki yatakayo shindaniwa
Linex alikuwa katulia anafuatilia
Millard na Barbra ndo walikuwa wakiongoza uzinduzi huo wa Fiesta 2012
mmhh!!kazi kwenu wa shiriki
Mr,Rugabo kampeni meneja wa Push Mobile akiwa na Barbra Hasan akionyesha jinsi ya kushiriki na ushinde haya magari na pikipiki
Mr.Rugabo,Allan,Sebastian,Mr.Benja wa gapco
Nice poz wadada
Ruben Ndege nae alikuwepo
Sebastian Maganga Meneja wa vipindi Clouds Akieleza Fiesta itakavyo kuwa
Shafih Dauda na Sade wakifuatilia
Ulikuwa ukifika tu mlangoni unatutana na hawa warembo
walipendeza
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment