
.

Magari
ya Jose Chameleone yakiwa parking nyumbani kwake, Uganda na Kenya ndio
naona kibali kinatolewa kwa watu kutumia majina yao badala ya namba
kwenye magari, kwa bongo bado naendelea kufatilia.

.

Mastaa
wa Uganda ndio wanaongoza kwa kuishi maisha ya kifahari Afrika
Mashariki kutokana na deals kibao zinazowalipa vizuri kama matangazo,
showz na deals nyingine.
No comments:
Post a Comment