Mbunge
wa jimbo la Ubungo John Mnyika akitoka nje ya viwanja vya Bunge la
Tanzania leo mjini Dodoma baada ya kukataa kufuta kauli ya kumdhalilisha
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa dhaifu. Mbunge huyo
alitoa kauli hiyo wakati akichangia Bajeti ya serikali ya mwaka 2012/13
katika mkutano unaoendelea. |
No comments:
Post a Comment