Rais
Jakaya Kikwete akipokea jezi ya timu ya Mpira wa Kikapu inayocheza ligi
ya NBA ya Marekani New York Knicks toka kwa Rais wa Shirikisho la
Basketball (TBF) Bw Mussa Mziya na Makamu wake Bw Phares Magessa
walipomtembelea leo Ikulu Jijini Dar es salaam na kumueleza mipango ya
chama hicho katika kuinua vipaji na viwango vya mchezo.
Rais
Jakaya Kikwete akipokea mpira toka kwa Rais wa Shirikisho la
Basketball (TBF) Bw na Makamu wake Bw Phares Magessa walipomtembelea
leo Ikulu Jijini Dar es salaam na kumueleza mipango ya chama hicho
katika kuinua vipaji na viwango vya mchezo
Rais
Jakaya Kikwete akiongea na Rais wa Shirikisho la Basketball (TBF) Bw
Mussa Mziya na Makamu wake Bw Phares Magessa walipomtembelea leo Ikulu
Jijini Dar es salaam na kumueleza mipango ya chama hicho katika kuinua
vipaji na viwango vya mchezo.
No comments:
Post a Comment