Mlinzi wa Manchester City Kolo Toure
amefunga ndoa na mchumba wake wa siku nyingi na mama wa watoto wake
wawili Chimene Akassou siku ya Alhamisi katika mji mkuu wa Ivory Coast -
Abdijan, kwenye sherehe iliyowakutanisha watu tofauti kutoka kwenye
matabaka tofauti kuanzia kwenye michezo mpaka wanasiasa.
Harusi hiyo imefanyika kwenye msikiti na itaendelea jumamosi ambapo Kolo na mkewe watasaini vyeti vya ndoa kiserikali.
Pia kutafanyika reception ya hatari sana wikiendi hii, huku wageni wengi wakitegemewa kuwa ni wachezaji wa timuya taifa ya Ivory Coast.
Ndugu wa Kolo, na mchezaji mwenzie kwenye klabu na Taifa, Yaya Toure alikuwa ndio best man.
Wanandoa hao wapya wamekuwa wakiishi pamoja Uingereza tangu mwaka 2003, mwaka mmoja baada ya Kolo Toure kuhamia Arsenal akitokea Asec Mimosas.

No comments:
Post a Comment