Pages

Friday, June 22, 2012

LORI LA MCHANGA LAVAMIA BAR NA KUUA TEGETA


 Roli aina ya SICANIA lililokuwa limebeba mchanga likiwa limeacha njia na kuingia kwenye kwenye Bar ijulikanoyo kama Kmm maeneo ya Tegeta Kibaoni jijini Dar es salaam leo kwenye ajali hiyo mtu mmoja amefariki hapohapo na wengine wawili majeruhi.

Mabaki ya vifaa mbalimbali vilivyoharibiwa kwenye bar hiyo baada ya kutokea kwa ajali hiyo leo maeneo ya Tegeta.
Jeshi la polisi likiimarisha ulinzi katika ajali hiyoiliyotokea leo maeneo ya Tegeta Kibaoni.KWA HISANI YA FULL SHANGWE

No comments:

Post a Comment