 |
Mkurugenzi
Mtendaji wa Benchmark Production Ritha Paulsen akitolewa damu na Mkuu
wa Kitengo cha Damu Salama kituo cha Dodoma Dk Leah Kitundya muda mfupi
kabla ya kuanza kwa zoezi la kusaka vipaji vya wasanii chipukizi mkoa wa
Dodoma, aliyeko pembeni yake ni Hawa Iche mkuu wa Mawasiliano wa Zantel |
Majaji Maadam Ritah katikati Salama
Jabir kulia na Paoul wakiwa kazini wakati wa kusaka vipaiji vya Bongo
Star Search mjini Dodoma
Vijana wakionyesha vitu vyao mbele ya Camera wakati wa zoezi la kusaka vipaji vya washiriki wa Bongo Satr Search Mjini Dodoma
No comments:
Post a Comment