Kivuyo akitoa taarifa ya gaidi aliyetiwa nguvuni jijini Dar es Salaam.
Mtuhumiwa wa ugaidi, Emrah Erdohan (24).
Baadhi ya maofisa wa polisi makao makuu wakiwa katika mkutano na wandishi wa habari kuhusu suala…
Kivuyo akitoa taarifa ya gaidi aliyetiwa nguvuni jijini Dar es Salaam.
Mtuhumiwa wa ugaidi, Emrah Erdohan (24).
Baadhi ya maofisa wa polisi makao makuu wakiwa katika mkutano na wandishi wa habari kuhusu suala hilo.
Maofisa wa polisi na baadhi ya waandishi wa habari waliofika makao makuu wa jeshi la polisi wakifuatilia tukio hilo.
Jeshi la polisi nchini limemkamata raia wa Ujerumani aliyetajwa kwa
jina la Emrah Erdogan ajulikanaye kwa jina jingine la Abdulrahman Othman
mwenye umri wa miaka (24) ambaye kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na
Kaimu Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai, Kamishna Kivuyo, amesema kuwa
mpiganaji huyo ni wa kundi la Al Qaeda ambaye ameshiriki katika
mapambano nchini Afghanistan na hivi karibuni nchini Somalia ambako
alikuwa akishirikiana na kundi la Al Shabab.Mtuhumiwa huyo alikamatwa jijini Dar es Salaam Juni 10, mwaka huu na hivi sasa vyombo vya ulinzi na usalama vinaendelea kumhoji kwa kushirikiana na mataifa mengine,
SOURCE GLOBAL PUBLISHERS
No comments:
Post a Comment