Ni hivi karibuni tu the long tyme rapper
katika scene ya muziki wa kizazi kipya namzungumzia 26 number kutoka
familia ya B.O.B, Nyandu Toz aliibiwa ndinga lake na baadae kwa bahati
likaja kupatikana so ile ilikua ni bahati mbaya kwa kuibiwa na bahati
nzuri kulipata, akipiga stories na 255 na ya Double XL amefunguka kuwa
tyme baada ya kuibiwa gari na kulipata, Good news ni kwamba amepata
bonus, tena ni blessingz from God, baada ya yule wa ubavu wake
kujifungua mtoto
No comments:
Post a Comment