Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, June 19, 2012

RAIS KIKWETE AAPISHA MWENYEKITI MPYA NA MAKAMISHNA WAPYA WA TUME YA USULUHISHI NA UAMUZI


Rais Kikwete akiwa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue na Naibu Waziri wa Kazi na Ajira Dkt Makongoro Mahanga (wa tatu kushoto) katika picha ya pamoja PICHA NA IKULU
Kamishna Sauli Herbert Kinemela akila Kiapo
Mwenyekiti wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi Bw. Cornel Kananila Mtaki akila kiapo
Kamishna Mary Cresent Massay akila kiapo
Kamishna Evod Paul Mushi akila kiapo
Kamishna Yahya Kitambazi Msigwa akila kiapo
Rais Kikwete katika picha ya pamoja na Makamishna wapya wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi baada ya kuwaapisha
Kamishna Salma Abdi Chande akila kiapo

No comments:

Post a Comment