Hali ya afya ya Dkt. Steven
Ulimboka inaendelea vyema baada ya kushambuliwa na watu wasiofahamika
usiku wa kuamkia juzi jijini Dar es Salaam.Ulimboka anaendelea kupata
matibabu katika Hospitali ya Taifa Muhumbili (MNH), Kitengo cha mMifupa
(MOI) aliko lazwa katika chumba cha wagonjwa mahututi (ICU) huku jopo la
madaktari Bingwa wakiendelea kumnusuru Kama aonekanavyo pichani
juu.Picha na Mdau Dande Francis
WANAHARAKATI WAOMBA JUHUDI ZIFANYIKE KUONGEZA IDADI YA WANAWAKE VIONGOZI
-
Imebainika wanawake asilimia 2.1 pekee ndio walijitokeza Katika kuwania
nafasi za uongozi wa vijiji jambo ambalo limewaamsha wanaharakati kuona
umuhimu...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment