Linex
jana jioni hadi usiku wa kuamkia leo alikuwa pande za Kunduchi Beach
Hotel akishuti video yake mpya na kampuni ya video inayojulikana kwa
jina la Visual lab chini ya Dir Adam Juma. Wimbo ambao ulikuwa
ukishutiwa unajulikana kwa jina la AIFORA ambao umetengenezwa katika
studio zilizopo Kibaha chini ya Producer Fundi Samweli
MC KIANDA ATAMANI TUZO YA MC WA TAIFA
-
*Na Oscar Assenga, TANGA. *
Mshereheshaji aliyeibuka kinara katika Tuzo za MC Bora wa Mkoa wa Tanga
2025 Giliad Kianda* “MC Kianda” *amesema kwa sasa male...
4 hours ago
No comments:
Post a Comment