VINARA WA LIGI KUU SIMBA NA AZAM KUPEWA ZAWADI ZAO KESHOKUTWA
MABINGWA;
Kikosi cha Simba msimu uliopita, kutoka kulia Okwi, Kaseja, Kapombe,
Maftah, Kazimoto, Chollo, Uhuru, Yondan, Boban, Mafisango (marehemu) na
Sunzu. Wengine ni Dk Kapinga wakati kocha Milovan amechuchumaa mbele.
WADHAMINI
wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara, Kampuni ya Vodacom itakabidhi zawadi kwa
washindi wa ligi hiyo keshokutwa kwenye hoteli ya Double Tree Hilton
mjini Dar es Salaam.
Mfungaji bora, John Bocco atapokea kitita keshokutwa
No comments:
Post a Comment