Kuna rumorz kitaani kuwa kundi la
wakali kwanza ambalo liliwahi kufanya vizuri kwenye music biz tanzania,
nazungumzia kwenye mwaka 2006 -2009, baadae jamaa wakapotea ,
nawazungumzia kina Josline, Makamua na Q –Jay, sasa hivi jamaa
wamejikusanya tena wakaingia studio, baada ya hapo wakapiga kichupa,
tayari nimeshakichungulia ingawa video bado haijatoka, wapo wote kasoro
mtu mmoja tu na pengo lake limezibwa na mwanadada Kekuu kutoka r
chuga na mmoja wa member ambae hayupo Wakali kwanza ni Q.
WANNE KIZIMBANI KWA UKWEPAJI KODI WASOMEWA MASHTAKA YA UHUJUMU UCHUMI
-
WAKAZI wanne wa Jijjni Dar es Salaam wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu
Mkazi Kinondoni wakikabiliwa na kesi ya Uhujumu uchumi yenye mashitaka sita
iki...
40 minutes ago
No comments:
Post a Comment