Mtaalamu wa Maabara kutoka Mpango wa
Taifa wa Damu Salama Eliza Mgaya, akiweka vizuri mfuko wa damu kutoka
kwa mwanafunzi wa Chuo Cha Afya Muhimbili Paul Boniface, ambaye
ameshiriki kwenye zoezi la kujitolea damu linaloenda sambamba na
upimaji wa bure wa magonjwa mbalimbali, linaloratibiwa na Wanafunzi
wanao hitimu mafunzo ya Maabara kwenye Chuo cha Maabara Muhimbili |
No comments:
Post a Comment