Katika
pita pita yangu leo asubuhi ikiwa ni kama ada yangu dj sek kuwataftia
habari nikakutona na habari hii kwa kweli ilinisikitisha nikakaka kama
saa zima nafkiria namna ya kuwaambia wanajamii pamoja na wadau wangu
ambao tunakutana kupitia facebook.
katika mtandao mmoja wa kijimii
umeandika facebook inafungwa tarehe 15 mwezi huu, PALO ALTO, CA –Mark
Zuckerberg amesema kumanage site sio kazi ndogo inampa mawazo tu so
kutokana na hivyo anaamua kuifunga.
hebu soma hii
Zuckerberg reportedly went on to
explain that starting July 15th, users will no longer be able to access
their Facebook accounts. That gives users (and Facebook addicts) a
year to adjust to life without Facebook.
“After
July 15th, 2012 the whole website shuts down,” said Avrat Humarthi,
Vice President of Technical Affairs at Facebook. “So if you ever want
to see your pictures again, I recommend you take them off the internet.
You won’t be able to get them back after Facebook goes out of
business.”
Zuckerberg said the decision to shut down Facebook was difficult, but that he does not think people will be upset.
“I
personally don’t think it’s a big deal,” he said in a private phone
interview to a source close to a friend. “And to be honest, I think
it’s for the better. Without Facebook, people will have to go outside
and make real friends. That’s always a good thing.”
hebu na wewe pitia hapa uhakikishe http://weeklyworldnews.com/headlines/27321/facebook-will-end-on-july-15th/2/
No comments:
Post a Comment