GHOROFA LILIOPO KATI YA KARIAKOO LIVING STONE JIJINI DARESALAAM LINAWAKA MOTO!
Jengo la Ghorofa lililopo mitaa yaKariakoo na Livingstone,
jijini Dar es Salaam, likiwa limeshika moto leo mchana kutokana na sababu ambazo hazijajulikana mara moja. Chumba kimoja kilichokuwa na chupa kibao za manukato kimeteketea.
WAZIRI WA NISHATI ZANZIBAR AIPA KONGOLE REA
-
-AISISITIZA KUENDELEA NA UHAMASISHAJI
-REA YAELEZEA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA NA
USAMBAZAJI WA UMEME VIJIJINI
Waziri wa Maji, Nisha...
RAIS MAGUFULI NA HISTORIA ISIYOFUTIKA
-
Na Emmanuel J. Shilatu
Kama ambavyo Watanzania tunavyomkumbuka Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius
Nyerere kwa kusaidia ukombozi wa upatikanaji wa uhur...
-
*MAENDELEO BANK - PLC, inatarajia kufanya Mkutano mkuu wa 4 wa mwaka
Mkutano huo utakaowakutanisha Wanahisa wote utafanyika Juni 23 mwaka huu
kwenye ukum...
No comments:
Post a Comment