Pages

Tuesday, July 10, 2012

JAPO BADO LULU YUKO JELA, HIZI NDIO MSG 10 NILIZOZIKUTA KWENYE WALL YAKE YA FACEBOOK.



Hapa ni Lulu akiwa chini ya ulinzi akiwa anatoka Mahakamani kwenye kesi inayomkabili, hii ni moja kati ya siku alizoshindwa kujizuia na kulia kwa yanayomkuta.
Ni miezi mitatu toka kutokea kwa kifo cha Movie star wa Tanzania Steven Kanumba ambapo usiku huo huo mwigizaji Lulu alikamatwa na polisi kwa madai ya kuhusika na kifo cha star huyo anaedaiwa kuwa alikua mpenzi wake, japo ni zaidi ya siku 90 zimepita toka aingie kwenye mikono ya sheria…. bado mashabiki mbalimbali wa Lulu wameendelea kumuandikia kwenye page yake ya facebook.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.SOURCE MILLARD AYO

No comments:

Post a Comment