Halamshauri ya manispaa ya Arusha
imesema kuwa kuanzia sasa itaanza rasmi kutenga bajeti kwa
ajili ya kuwasaidia yatima ndani ya manispaa , ambapo bajeti
hiyo pia italenga misaada kwa vituo mbalimbali ili kupunguza
changamoto mbalimbali ambazo zinaikabili vituo mbaliombali hapa
mjini
Akizungumza
katika harambee kwa ajili ya watoto yatima wa kituo cha
watoto Matonyok Children Care kilichopo katika kata ya Olasistri
Meya wa jiji la Arusha Bw Gaudence Lyimo alisema kuwa mpango
huo utaanza hivi karibuni ambapo vituo vya mayatima navyo
vitahusika kwa kuwa kwa sasa kuna changamoto mbalimbali ambazo
zinakabili vituo vya yatima.
No comments:
Post a Comment