Pages

Tuesday, July 10, 2012

MTOTO MGONJWA ARUDISHWA KWAO KIJIJINI KUTOKANA NA MGOMO WA MADAKTARI!





Daniel Mdogo Chemenzi akiwa na mwanae nje ya Hospitali ya Taifa Muhimbili.


Mtoto Zawadi Daniel.


MTOTO Zawadi Daniel, 6, mkazi wa Kijiji cha Mautya, Wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma amerudishwa kwao baada ya kukosa matibabu ya upasuaji katika Hospitali ya Taifa Muhimbili.
Akizungumza na mwandishi wetu hivi karabuni, baba mzazi wa mtoto huyo aliyejitambulisha kwa jina la Daniel Mdogo Chemenzi akiwa na huzuni huku machozi yakimtiririka alikua na haya ya kusema:

No comments:

Post a Comment