Mama
wa nyumbani Mrs. Ruka Amoha ambae anadai kuwa mumewe amemnyima unyumba
kwa miezi kadhaa sasa, ameamua kutoa hasira zake kwa jirani yake Mrs.
Yemi Adelani.
“siwezi
kukubali Yemi amfaidi mume wangu na wake pia kwa wakati mmoja nakufanya
mi nishindwe kumfaidi mume wangu"amesema ruka mama mwenye watoto
watatu.
Tukio
hili limetokea Lagos, Nigeria na Dr Oriele Agege amekubali kutokea kwa
tukio hilo na kusema kuwa pua ya Yemi imeumizwa sana na anahitaji
kufanyiwa plastic surgery to survive.
No comments:
Post a Comment