Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, July 3, 2012

Rais Kikwete akutana na Rais Kabila pamoja na Naibu Waziri Mkuu wa Ubelgiji



 RaisDkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais Joseph Kabila wa Jamhuri yakidemokrasia ya Kongo(DRC) mjni  Bujumbura Burundi ambapo walifanya mazungumzo.
 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Naibu Wazirimkuu wa Ubelgiji  Bwana Didier Reyndersmjini Bujumbura Burundi leo baada kufanya mazungumzo.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Katibumkuu wa Maziwa Makuu Professa Ntumba Luaba Alphonse mjini Bujumbura Burundileo

No comments:

Post a Comment