Pages

Sunday, July 1, 2012

RAIS KIKWETE AUTHURIA SHEREHE ZA MIAKA 50 YA RWANDA



Rais Paul Kagame wa Rwanda akimkaribisha Rais Dkt.Jakaya Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete kwenye Uwanja wa Mpira wa miguu wa Amahoro mjini Kigali Rwanda kwa ajili ya sherehe za miaka 50 ya Uhuru wa Rwanda
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mwenyeji wake Rais Paul Kagame wa Rwanda wakipokea heshima za marais muda mfupi baada ya Rais Kikwete kuwasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kigali kuhudhuria Sherehe za maadhimisho ya Miaka 50 ya Rwanda leo asubuhi.

No comments:

Post a Comment