Timu
ya Taifa ya Olimpiki inaondoka leo kwenda nchini Uingereza kushiriki
michezo ya 30 ya Olimpiki itakayofanyika jijini London. Wachezaji
watakaoondoka ni pamoja na wanariadha Samson Ramadhan, Mohamed Msindoki,
Faustine Mussa (marathon) na Zakhia Mrisho anayekimbia mita 5,000. Pia
Bondia pekee katika safari hiyo ni Seleman Kidunda, kwa upande wa
kuogelea utawakilishwa na Magdalena Moshi.
MAPINDUZI YA ZANZIBAR: KUMBUKUMBU TUKUFU.
-
Miaka sitini na moja, leo tunakumbuka,
Mapinduzi matakatifu, yenye historia adhimu,
Unguja na Pemba, visiwa vya thamani,
Walinyanyuka wananchi, kwa s...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment