Katibu Mkuu wa chama cha Alliance For Democratic Change (ADC ) Kadawi
Lucas Limbu, mwenye suti katika akiongoza maandamano ya wanachama wa
chama hicho kwenda kuhakikiwa kwenye uwanja wa saba saba Mjini Magua
jana.Kulia ni Kamishina wa ADC Kanda ya Ziwa, shaaban Itutu.Jumla ya
wanachama 240 walipatikana katika uhakiki huo ili kuwezesha chama hicho
kupata usajili wa kudumu, uhakiki ambao uliongozwa na Afisa Mfawidhi wa
Kanda ya Ziwa , msajili msaidizi wa vyamavya siasa, Ludovi Joseph
Ringia.
|

Ringia. |
Katibu Mkuu wa Chama cha Alliance For Democratic Change (ADC Kadawi
Lucas Limbu mwenye suti akifuatilia zoezi la uhakiki wa wanachama wa
chama hicho jana mjini Magu, ambao ulifanywa na maofisa wa ofisi ya
msajili wa vyama vya siasa Kanda ya Ziwa,ambapo wanachama 240 walikutwa
hawana dosari.
Ofisa mfawidhi wa ofisi ya msajili wa vyama vya Siasa Kanda ya Ziwa,
Msajili msaidizi Ludovic Joseph Ringia, (kulia,) akizungumza na viongozi
wa Chama cha Alliance For Democratic Change (ADC) wa kwanza kushoto ni
Katibu Mkuu wa chama hicho Taifa, Kadawi Lucas Limbu na katikati ni
Kamshina wa chana hicho Kanda ya Ziwa muda mfupi kabla ya kufanyika kwa
zoezi la uhakiki wa majina ya wanachama wa chama hicho Wilkayani Magu
Mkoa wa Mwanza jana.Jumla wa wanachama 240 walipatikana kufutia uhakiki
huo kuwa hawakuwas na dosari
No comments:
Post a Comment