Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, July 4, 2012

Yanga yaondolewa kwenye michuano ya Urafiki visiwani Zanzibar

KIMENUKA ZANZIBAR!
  • Yanga yaondolewa kwenye michuano ya Urafiki visiwani Zanzibar, ni baada ya kufanya 'uhuni' wa kuleteta watoto wa 'chekechea' katika mashindano, mashabiki wakasirika wataka ifungiwe kucheza katika visiwa vya Zanzibar.....Taarifa kamili msikilize afisa Habari wa ZFA Taifa, Munir Zakaria, kupitia kipindi cha michezo cha COCONUT FM kuanzia saa 2 kamili usiku wa leo!
  • No comments:

    Post a Comment