YOU MUST READ THIS:::::::JIHADHARINI NA VOCHA ZILIZOTUMIKA...!
Kuna
njia mpya unatumika na vibaka na wezi wa magari kutoweka kwenye mkono wa sheria
kutokana na uhalifu wao. Wanakusanya vocha zilizotuma pindi wanapotelekeza gari
au kutupa miili ya watu waliokufa na kuacha vocha hizo zilizotumika kwenye
tukio. Police wakifika eneo la tukio wanatumia namba za hizo vocha kusaka namba
ya simu yamtumiaji wa hiyo vocha. Tayari watu wawili wameshikiliwa keko
wameathirika na huu udanganyifu. Tafadhali hakikisha umeharibu vocha yako baada
ya kutumia ili nawe usipatwe na janga hili.
No comments:
Post a Comment