Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, August 6, 2012

AIRTEL YAFUTURISHA WATEJA WAKE JIJINI ARUSHA.


 Meneja Huduma wa Airtel Tanzania, Hilda Nakajumo (kulia), pamoja
na baadhi ya wateja wao wa makampuni, wakipakua chakula katika hafla
ya futari waliyoiandaa kwa wateja wao, katika Hoteli ya Naura Springs
jijini Arusha jana. Kushoto ni Anne Gitarda na Evelyn James, wote
kutoka katika ofisi za UN-ICTR jijini humo.
  Meneja Huduma wa Airtel Tanzania, Hilda Nakajumo (wa tatu
kushoto), akizungumza na baadhi ya wateja wao wa makampuni, katika
hafla ya futari waliyoiandaa kwa wateja hao, katika Hoteli ya Naura
Springs jijini Arusha.
Baadhi ya wateja wa makampuni wa Airtel Tanzania wa Mkoani Arusha
wakichota uji katika hafla ya futari iliyoandaliwa na Airtel Tanzania,
 katika Hoteli ya Naura Springs jijini Arusha.

No comments:

Post a Comment