AJALI MBAYA YATOKEA CHANGOMBE DAR ES SALAAM. MWENDESHA BODABODA AFA HAPO HAPO!
ajali
Mbaya yatokea maeneo ya changombe Dar es salaam, dcm lenye namba za
usajili T 871 BGY limegongana na mwendesha bodaboda, Kwa habari
tulizozipata kuwa mwendesha bodaboda kafia uvunguni mwa dcm hilo, endelea kuwa nasi tutawajuza yalojiri hapo baadaye.
No comments:
Post a Comment