Add caption |
Mchezaji mpya wa Manchester United, Robin van Persie (kushoto) wa Uholanzi akisalimia na wachezaji wa timu yake mpya Nani na Fletcher katika mazoezi ya timu hiyo leo. |
Kijana
wewe jembeee.... sasa msimu huu ukiwashika Arsenane wawe Arse16. Kocha
Fergie akimpa maelekezo Robin van Persie wakati wa mazoezi ya Manchester
United leo. Picha: http://www.manutd.com |
No comments:
Post a Comment