![]() |
Hii ni barabara ya isanga inayoanzia makunguru mpaka kwenda kukutana na barabara ya kwenda chunya |
![]() |
kwaujumla barabara hii kwa sasa haifai kabisa na imewaongezea matatizo wakazi wa isanga kwani kukodi gari ndogo kwenda isanga ni gharama kubwa sana kutokana naubovu wa barabara |
![]() |
Haya sasa ni mahandaki si mashimo |
![]() |
Hii ndiyo hali halisi ya barabara za isanga jijini Mbeya |
![]() | ||
Mamlaka husika wasaidieni wakazi wa isanga maana sasa usafiri wao mkuu ni bajaji gari za abiria zimegoma kabisa kwenda njia hiyo kutokana na ubovu wa barabara hii source http://mbeyayetu.blogspot.com |
No comments:
Post a Comment