Zipo taarifa kuwa Dr.Ulimboka anarejea leo nchini akitokea kwenye matibabu.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari nchini Tanzania Dk. Stephen Ulimboka
aliyekuwa akitibiwa nchini Afrika Kusini baada ya kupigwa na watu
wasiojulikana amerejea leo nchini akiwa mwenye afya.
No comments:
Post a Comment