Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, August 10, 2012

BREAKING NEWS: WATU ZAIDI YA 11WAMERIPOTIWA KUFA KATIKA AJALI ILIYOTOKEA WAMI IKIHUSISHA MAGARI MANNE


Watu zaidi ya 11 wanaripotiwa kufa kufuatia ajali ya mabasi mawili ya abiria yaliyokuwa yakitokea Nairobi nchini Kenya kuja Dar es Salaam.Ajali hiyo inaelezwa kuwa imetokea maeneo ya Daraja la mto Wami alfajiri ya leo Mkoani Pwani.kutoka taarifa ya ITV ya saa sita leo imeeleza ivo tunazidi kufuatilia tutawaletea taarufa zaidi

No comments:

Post a Comment