Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, August 24, 2012

EXCLUSIVE:HII NDO NYIMBO MPYA YA BEN POL - PETE SIKILIZA NA DOWNLOAD HAPA

Verse 1; Hadithi ya penzi langu umenikata nini mwisho huthamini huoni pendo lako nalihitaji leo kesho nishawahi kukosa ,mwenzenu nilisumbuka mchana na usiku mimi, nishawahi kukosa nasema niliteseka mchana na usiku mimi nishawahi kukosa ,mwenzenu nilisumbuka mchana na usiku mimi, sitaki tena kosa najua nitateseka mwisho sitokuwa nawe tena naulizaa Chorus; Kama pete yangu, inakuchomaa kidoleni ni kama pendo langu , linakuchoma moyonii , bora kuitoa aaah aah , pendo kulivua aaah , bora kuitoa , moyoni mwangu mi nisiteseke bora kuitoa aaah aa , pendo kulivua aaah , bora kuitoa , moyoni mwangu mi nisiteseke Verse 2; sikujali wambea wanafki walosema hatutadumu mimi nawe tutajaachana wakiniona siko nawe si ndo watasema hata nyumbani watajua tumefarakana nikiwaza kwenda mbali ,moyoni nahofia maana bado nakujali ,kwako nilishatua nikiwaza kwenda mbali ,moyoni nahofia maana bado nakujali ,kwako nilishatua kila jema n'tendalo mie ,kwako limekuwa sio nitakapo kujua ulipo ,wanijibu utakavyo pete kidoleni mwako ,yanisuta mwenzio ndo maana nikukosapo ,moyo wanienda mbio Repeat Chorus till fade

No comments:

Post a Comment