Pages

Wednesday, August 15, 2012

FLETCHER AREJEA UWANJANI MAN UNITED IKIPIGWA 2-1



Nahodha wa Scotland, Darren Fletcher jana alirejea uwanjani kwa 'mguu mbaya' wakati Manchester United ikifungwa 2-1 na Aberdeen katika mechi maalum kwa ajili ya kumuaga gwiji wa Dons, Neil Simpson.
Kocha wa zamani wa Aberdeen, Sir Alex Ferguson aliwapanga Ryan Giggs, Paul Scholes na Rio Ferdinand katika mechi hiyo maalum ya mchezaji wake wa zamani, ambaye sasa ni Mkuu wa akademi ya vijana ya Pittodrie.
Nice to have you back: Darren Fletcher takes the captain's armband
Darren Fletcher akiwa na beji ya Unahodha
Tucked away: Jonny Hayes opens the scoring and is congratulated (below)
Jonny Hayes akifunga bao la kwanza
Good job: Hayes (centre) is congratulated by his team mates after opening the scoring for Aberdeen
Hayes (katikati) akipongezwa na wachezaji wenzake wa Aberdeen
Can't break through: Ryan Giggs struggled to make an impact
Ryan Giggs akipambana uwanjani
Decent: Fletcher impressed given his long absence
Fletcheruwanjani
Look who's back: Darren Fletcher signs autographs
Darren Fletcher akisaini autographs
Out they come: Aberdeen assistant manager Archie Knox (left) makes his way out of the tunnel alongside old friend Sir Alex Ferguson
Kocha Msaidizi wa Aberdeen,r Archie Knox (kushoto) akiingia uwanjani akiwa ameongozana na Sir Alex Ferguson
Tussle: Federico Macheda (left) challenges for the ball with Aberdeen's Isaac Osbourne
Federico Macheda (kushoto) akichuana na mchezaji wa Aberdeen, Isaac Osbourne
All for you: Neil Simpson applauds the fans who turned up for his testimonial
Neil Simpson akiwapungia mikono mashabiki kuwaaga
Scary: A young Aberdeen fan with a Wayne Rooney mask
Shabiki mtoto wa Aberdeen akiwa amevaa mask la Wayne Rooney..
NA BIN ZUBEIRY

No comments:

Post a Comment